1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

V2 / S12S14 Februari 2017

https://p.dw.com/p/2XVqL

Miongoni mwa yaliyomo: Rais Donald Trump wa Marekani ameahidi kuisaidia Nigeria katika vita vyake dhidi ya ugaidi waitikadi kali za kiislamu, Iraq yashambulia jengo alilokuwemo kamanda mkuu wa IS Abu Bakr al-Baghdadi, na Viongozi wa madaktari wanaogoma nchini Kenya wapewa kifungo cha mwezi mmoja jela.