1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

9 Machi 2023

Maelfu ya watu waandamana kwa siku ya pili mfululizo Georgia kupinga sheria ya ukandamizaji//Kundi la mamluki la Urusi la Wagner lasema jeshi la Urusi limezinyakua wilaya kadhaa Ukraine//Na Spika wa bunge la Marekani akataa mwaliko wa rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy mjini Kyiv.

https://p.dw.com/p/4OQIc