1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari, asubuhi saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
12 Oktoba 2022

https://p.dw.com/p/4I3zn

-Kundi la nchi saba zinazoongoza kiviwanda G7 zimeahidi kuendelea kusimama na Ukraine bila ukomo wa muda

-Rais wa Marekani Joe Biden amesema yuko tayari kutathmini upya uhusiano na Saudi Arabia

-Ufaransa imetishia kutumia nguvu kuwarejesha kazini wafanyakazi wa sekta ya mafuta wanaogoma.