1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari: Asubuhi Juni 26, 06. 2022

V2 / S12S26 Juni 2022

Urusi imesema vikosi vyake vimechukua udhibiti kamili wa mji wa mashariki mwa Ukraine Sieverodonetsk. Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz asema anataka kuangazia zaidi mfumko wa bei ya bidhaa na migogoro ya nishati na tabia nchi, kwenye mkutano wa kilele wa G7. Wanaharakati wa haki za binadamu wa Morocco wataka uchunguzi ufanywe kufuatia vifo vya wahamiaji 23.

https://p.dw.com/p/4DFd3