1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 31.03.2022

31 Machi 2022

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema vikosi vya nchi hiyo vinajiandaa kwa mashambulizi mapya yanayofanywa na Urusi katika eneo la Donbas//Umoja wa Mataifa umesema watu bilioni 2 wanaishi kwenye maeneo ya mizozo//Rais wa Tunisia, Kais Saied ametangaza kulivunja bunge na hivyo kuzidisha mzozo wa kisiasa nchini humo

https://p.dw.com/p/49G94