1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 30.11.2020

V2 / S12S30 Novemba 2020

Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi limesema lina matumaini viongozi wa Ethiopia wataruhusu msaada wa kiutu kuingia kwenye jimbo la Tigray // Rais mteule wa Marekani, Joe Biden leo anatarajiwa kupokea taarifa ya kila siku ya rais kwa mara ya kwanza // Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Syria, amesisitiza kuhusu kusonga mbele kwa mchakato wa kisiasa wa Syria

https://p.dw.com/p/3lzeH