1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 30.09.2021

30 Septemba 2021

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amempongeza mgombea wa ukansela wa SPD Olaf Scholz kwa kushinda uchaguzi wa Jumapili//Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ametangaza kurudisha mawasiliano ya simu na Korea Kusini//Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu, Amnesty International limesema Poland iliwarejesha kinyume cha sheria wahamiaji waliokuwa wamekwama kwenye mpaka wake na Belarus

https://p.dw.com/p/413w3