1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 29.03.2022

29 Machi 2022

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema vikosi vya Urusi bado vinaishambulia Kiev//Rais wa Marekani, Joe Biden amesema hatoomba radhi kutokana na kauli yake aliyoitoa kwamba Rais wa Urusi Vladmir Putin hawezi kubakia madarakani//Shirika la Amnesty International limesema jumuia ya kimataifa ilifumbia macho mizozo mipya iliyokuwa ikiendelea na migogoro ambayo haijasuluhishwa ikiongezeka

https://p.dw.com/p/499P7