1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 25.10.2018

25 Oktoba 2018

Saudi Arabia imeahidi kushirikiana na Uturuki kuhakikisha wanawafikisha katika vyombo vya sheria waliohusika na mauaji ya Jamal Khashoggi // Rais wa Marekani, Donald Trump amelaani kitendo cha kusambazwa vifurushi vinavyoshukiwa kuwa na vilipuzi // Umoja wa Mataifa umesema mauaji ya kimbari bado yanaendelea nchini Myanmar dhidi ya Waislamu wa Rohingya

https://p.dw.com/p/379dh