1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 24.10.2018

24 Oktoba 2018

Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan amesema ana ushahidi mkubwa kwamba mauaji ya Jamal Khashoggi yalipangwa kabla na maafisa wa Saudi Arabia // Rais wa Urusi, Vladmir Putin amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump katika wiki zijazo//Umoja wa Ulaya umeikataa bajeti ya Italia ikisema kuwa inakiuka kikomo cha madeni cha umoja huo na imetaka ifanyiwe marekebisho

https://p.dw.com/p/374Zh