1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 22.10.2018

22 Oktoba 2018

Watawala wa kifalme wa Saudi Arabia waipa pole familia ya mwandishi habari wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa ndani ya ubalozi wake mdogo mjini Istanbul, Uturuki // Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema nchi yake itasitisha kuiuzia silaha Saudi Arabia kwa sasa // Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amewaomba radhi watoto walioathirika na unyanyasaji wa kingono

https://p.dw.com/p/36vA9