1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 20.02.2017

20 Februari 2017

Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Syria, Staffan de Mistura amehoji kuhusu ushiriki wa Rais wa Marekani, Donald Trump katika kuutatua mzozo wa Syria // Vikosi vya Iraq vinavyoungwa mkono na Marekani, vimeanzisha mashambulizi makubwa ya anga na ardhini kuukomboa mji wa Mosul kutoka kwa IS // Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, hana mipango ya kuachia madaraka.

https://p.dw.com/p/2XscT