1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 18.03.2020

18 Machi 2020

Umoja wa Ulaya wakubaliana kuweka marufuku ya kusafiri kwa raia wa kigeni wanaoingia Ulaya ili kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona//Uturuki, Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zajadiliana kuhusu mzozo wa wahamiaji na hali katika jimbo la Idlib//Makamu wa zamani wa rais wa Marekani, Joe Biden ameshinda uchaguzi wa kura za mchujo kwa chama cha Democratic kwenye majimbo ya Florida na illinois

https://p.dw.com/p/3Zc0l