1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 17.09.2017

17 Septemba 2017

Mgombea wa kiti cha ukansela nchini Ujerumani, Martin Schulz amezungumza na DW katika mahojiano maalum // Uturuki imemuita balozi wa Ujerumani nchini humo, baada ya zaidi ya Wakurdi 10,000 kuandamana katika mji wa Cologne // Umoja wa Mataifa umetaka kuanzishwa uchunguzi baada ya wakimbizi wapatao 36 wa Burundi kuuawa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

https://p.dw.com/p/2k7Q6