1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 16.12.2021

16 Desemba 2021

Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Ulaya kimeonya kuwa chanjo pekee haiwezi kuzuia kusambaa kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron//Shirika la misaada la Save the Children limesema idadi ya watoto wasiopata chakula cha kutosha Afghanistan imeongezeka hadi milioni 3.3//Viongozi wa Ulaya wamerudia ahadi yao ya kushirikiana na nchi washirika za Ulaya Mashariki

https://p.dw.com/p/44L8X