1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 16.05.2021

16 Mei 2021

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema anasikitishwa na mashambulizi ya Israel yanayoendelea Gaza // Shirika la Afya Duniani limesema zaidi ya watu milioni 161 wameambukizwa virusi vya corona duniani // Jeshi la Sudan limekabidhi kwa waendesha mashtaka matokeo ya uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji yaliyotokea Khartoum mwaka 2019

https://p.dw.com/p/3tS38