Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump ameikosoa vikali sera ya Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ya kufungua milango kwa wakimbizi // Zaidi ya nchi 70 zimezitolea wito Israel na Palestina kuthibitisha upya dhamira yao kuhusu kuwepo suluhisho la mataifa mawili // Rais wa Gambia, Yahya Jammeh amefungua kesi ili kuomba amri ya mahakama kumzuia rais mteule Adama Barrow kuapishwa siku ya Alhamisi