1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 15.12.2021

15 Desemba 2021

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu, Amnesty International limelaani uhalifu wa kivita uliofanywa Afghanistan//Umoja wa Mataifa umeitaka Marekani kuiondolea vikwazo Iran kulingana na mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015//Mwanasheria Mkuu wa Washington D. C, Marekani Karl Racine ameyafungulia mashtaka makundi yenye itikadi kali kwa kula njama ya kufanya ugaidi katika ghasia za Januari 6

https://p.dw.com/p/44H0p