1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 14.12.2021

14 Desemba 2021

Umoja wa Mataifa umesema utaandaa kikao maalum kwa ajili ya kujadili haki za binaadamu nchini Ethiopia//Umoja wa Ulaya umeiwekea vikwazo kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group, inayojihusisha na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu//Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema kuna nia ya kufanya kazi pamoja na Hungary, licha ya mizozo ya kisiasa iliyopo kati yake na Umoja wa Ulaya

https://p.dw.com/p/44Dhn