1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 14.07.2021

14 Julai 2021

Idadi ya watu waliokufa kutokana na ghasia nchini Afrika Kusini imefikia 72//Umoja wa Ulaya umeidhinisha mpango wa kuufufua uchumi kwa ajili ya nchi 12 wanachama zilizoathiriwa na janga la virusi vya corona// Shirika la Umoja wa Mataifa la Wahamiaji limesema idadi ya wahamiaji na wakimbizi waliokufa wakati wakijaribu kuingia Ulaya kupitia baharini imeongezeka mara mbili mwaka huu

https://p.dw.com/p/3wRUo