1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 14.03.2019

14 Machi 2019

Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuizuia nchi hiyo kuondoka katika Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano//Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kusitisha mara moja safari za ndege za Boeing chapa 737 MAX 8 baada ya ajali ya Ethiopia//Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Felix Tshisekedi amewasamehe kiasi ya wafungwa 700 wa kisiasa waliofungwa jela na utawala wa Joseph Kabila

https://p.dw.com/p/3F00a