1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 13.03.2019

13 Machi 2019

Wabunge wa Uingereza wamepiga kura kuupinga mpango wa Waziri Mkuu Theresa May kuhusu Brexit // Nchi nyingi duniani zikiwemo zote za Umoja wa Ulaya zimesitisha kurusha ndege zake za Boeing chapa 737 MAX 8 // Kardinali George Pell amehukumiwa kifungo cha miaka sita gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuwanyanyasa kingono watoto

https://p.dw.com/p/3EuZo