1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 08.12.2017

8 Desemba 2017

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel na chama chake cha Christian Democratic Union, CDU kitafanya mazungumzo ya awali ya kuunda serikali ya muungano na chama cha Social Democratic, SPD // Mapigano yamezuka kati ya vikosi vya Palestina na Israel katika Ukingo wa Magharibi // Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson leo atakutana na Waziri Mkuu wa Lebanon, Saad al-Hariri mjini Paris.

https://p.dw.com/p/2ozbp