1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 07.10.2019

7 Oktoba 2019

Mfichua siri wa pili amesema ana taarifa zinazounga mkono madai ya mfichua siri wa kwanza kuhusu mazungumzo ya simu ya Rais wa Marekani Donald Trump na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy//Idadi ya watu waliouawa katika maandamano ya kuipinga serikali Iraq imeongezeka na kufikia zaidi ya 100//Matokeo ya awali ya uchaguzi wa bunge Tunisia yanaonesha kuwa chama cha Ennahda kinaongoza

https://p.dw.com/p/3QoRO