1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 07.07.2020

7 Julai 2020

Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro amepimwa virusi vya corona baada ya kuonesha dalili ikiwemo kupata homa//Uingereza imewawekea vikwazo watu kadhaa pamoja na mashirika ya Urusi, Saudi Arabia, Myanmar na Korea Kaskazini kwa kukiuka haki za binaadamu//Umoja wa Mataifa umesema kundi la wanamgambo la ADF limewaua takriban raia 800 katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo tangu kuanza kwa mwaka uliopita

https://p.dw.com/p/3etDd