Taa za jua zapunguza makali ya umasikini Kenya
24 Oktoba 2011Matangazo
Alfred Kiti ametembelea mitaa ya mabanda ya jijini Nairobi kujionea mwenyewe namna wakaazi wa huko wanavyotumia rasilimali ya kudumu ya jua kujizalishia umeme.
Mtayarishaji: Alfred Kiti
Mhariri: Josephat Charo