1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Uhusiano wa kijeshi baina ya Ujerumani na Mali

Harrison Mwilima2 Februari 2022

Ni takribani miaka 9 sasa tokea majeshi ya Ujerumani yalipopelekwa nchini Mali, katika operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya. Kwenye makala hii ya Sura ya Ujerumani Harrison Mwilima ameangazia uhusiano wa Ujerumani na Mali.

https://p.dw.com/p/46QcY