1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 70 tangu Ujerumani ilipogawika

Oumilkheir Hamidou11 Oktoba 2019

Ujerumani ilikuwa imegawika sehemu mbili kati ya mwaka 1945 hadi 1990. Hali hiyo mtu anaweza kuitambua mpaka sasa, miaka 30 baada ya mapinduzi ya amani katika eneo la kikoministi la mashariki. Na hakuna dalili kama hali hiyo itabadilika haraka. Kuyasikia yote hayo baki na Oummilkheir.

https://p.dw.com/p/3R7tq