1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sura ya Ujerumani: Ifahamu roboti ya kusambaza vifurushi

Zainab Aziz12 Aprili 2023

Makala ya Sura ya Ujerumani inakutambulisha kwa roboti lililopewa jina la Theo. Roboti hiyo inayojiendesha yenyewe itatumika kupeleka vitu kama vifurushi kwa wateja. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4PwnU