1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sura ya Ujerumani: Historia ya ukoloni ya Wajerumani Afrika

Zainab Aziz22 Desemba 2022

Wajerumani wametumia kila nyenzo kuangazia na kuchunguza matendo yao ya miaka iliyopita na kukubali jinsi walivyohusika na vitendo hivyo. Lakini sura moja katika kitabu cha historia yao haijapewa uzito unaostahili. Ufahamu wa historia utasaidia katika juhudi za kujenga mtazamo sahihi juu ya bara la Afrika na watu wake. Mtayarishaji wa Makala hii ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4LKNl