1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSudan

Sudan yaendelea kutumbukia katika janga la kibinadamu

Tatu Karema14 Juni 2023

Sudan inaendelea kutumbukia katika janga la kibinadamu, na hadi sasa, hakuna dalili za kufikia mwisho kwa mapambano ya kuwania madaraka kati ya majenerali wawili hasimu. Makubaliano kadhaa ya kusitisha mapigano yamekuwa yakivunjwa kila wakati. Kupata picha kamili kuhusu mgogoro huo wa Sudan, DW imezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa masuala ya kimataifa.

https://p.dw.com/p/4SYR4