1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sudan yaendelea kusakamwa kufuatia mapinduzi ya kijeshi

29 Oktoba 2021

Miongoni mwa yaliyomo kwenye Afrika wiki hii ni Sudan kuendelea kushinikizwa kimataifa kurudisha utawala wa kiraia baada ya mapinduzi ya kijeshi na kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Chadema yaendelea.Kwa mengi zaidi sikiliza Afrika wiki hii na Saumu Mwasimba

https://p.dw.com/p/42M7u