1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sudan Kusini: Ubunifu wa mitindo ya mavazi hata katika eneo la vita

2 Aprili 2019

Hata kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe hakujamfanya Winnie Godi kuikimbia Sudan Kusini. Anataka kutumia ufanisi wake kama mbunifu wa fasheni kwa manufaa ya nchi yake.

https://p.dw.com/p/3G6o8