1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaSudan Kusini

Sudan Kusini: Rais Salva Kiir kukutana na Makamo wake wa kwanza, Riek Machar

Sudi Mnette10 Machi 2023

Wawili hao watakutana kujadili hatua ya Kiir, kuwafuta kazi mawaziri watatu kwa mpigo, akiwemo wa ulinzi, wa ndani na wa mambo ya nje bila ya mashauriano, hatua ambayo inaelezwa kufanyika kinyume na makubaliano ya amani ya 2018. Waziri wa Ulinzi aliefutwa kazi ni mke wa Machar. Sudi Mnette ameongea na mjuzi katika siasa za Sudan Kusini, Ali Mutasa.

https://p.dw.com/p/4OVJR