1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai amejiuzulu

6 Januari 2022

Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amejiuzulu wadhifa huo. Ndugai amesema amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ya kujiuzulu nafasi ya Spika na ameweka wazi kuwa uamuzi huo ameufanya kwa hiari. Watanzania wamepokea vipi uamuzi wa Ndugai kujiuzulu?

https://p.dw.com/p/45EaT