1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Spika Job Ndugai analizungumziaje suala zima la corona Tanzania?

17 Agosti 2021

Msikilize Spika wa bunge la kitaifa la Tanzania Job Ndugai akizungumza na Sudi Mnette kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona Tanzania, chanjo na serikali ya nchi hiyo kubadilisha msimamo ghafla kuhusiana na maradhi ya Covid-19.

https://p.dw.com/p/3z5gX