1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sober House zawapa vijana nafasi kuachana na madawa

Sylvia Mwehozi4 Agosti 2016

Wiki hii katika Vijana Mchaka Mchaka, Sylvia Mwehozi anakufahamisha kuhusu namna gani nyumba za kusaidia walioathirika na dawa za kulevya maarufu kama Sober House zilivyoweza kuwa msaada kwa wasanii waliokwisha athirika pamoja na vijana wengine.

https://p.dw.com/p/1JbQs