1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sissi auiunga mkono Somalia kwenye mzozo wake na Ethiopia

22 Januari 2024

Rais Abdel Fattah al-Sissi amesema nchi yake haitokubali kitisho chochote dhidi ya Somalia au usalama wake, baada ya Ethiopia kuashiria kwamba inaweza kutambua madai ya uhuru wa Somaliland. al Sisi ameonesha kutoa kitisho,akisema hatua ya taifa fulani kutaka kurukia ardhi ya wengine kutaka kuidhibiti ni jambo lisilokubalika. Omar Mutasa anazungumzia kadhia hiyo.

https://p.dw.com/p/4bXAb