1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Sintofahamu kuhusu Bima ya Afya kwa Wote Tanzania

Sudi Mnette24 Novemba 2022

Kwenye Kinagaubaga leo, tunaangazia Bima ya Afya kwa wote nchini Tanzania ambayo ilizusha sintofahamu tukimshirikisha Profesa Abel Nkono Makubi, katibu mkuu wa wizara ya Afya nchini humo. Muandalizi ni Sudi Mnette

https://p.dw.com/p/4Jzwa