Theodor Michael ni Mjerumani mweusi na wakati wa miaka ya ubaguzi wa rangi nchini Ujerumani, alishirikishwa katika zoo za binaadamu kama kiumbe wa ajabu kutokana tu na rangi yake. Michael: “Watu wakinishika nywele zangu pamoja na ngozi yangu nyeusi.”