1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Simba wapasha misuli moto na St George ya Ethiopia

8 Agosti 2022

Msikilize mwanamichezo wetu Mhindi Joseph kutoka Dar es Salaam Tanzania akikupasha kuhusiana na yaliyojiri michezoni nchini humo mwishoni mwa wiki ikiwemo mechi ya kirafiki ambayo miamba wa nchini humo Simba SC watakuwa wanapambana na vigogo wa Ethiopia St George.

https://p.dw.com/p/4FGli