1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Nyerere Tanzania

14 Oktoba 2021

Tarehe 14.10.1999, rais wa kwanza wa iliyokuwa Tanganyika, na baadae ikawa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere alifariki dunia wakati akipatiwa matibabu mjini London nchini Uingereza. Sudi Mnette amezungumza na mdau muhimu wa siasa za Tanzania ambaye i ni mfuasi wa falsafa za Mwalimu Nyerere kama alivyofahamika barani Afrika, Deus Kibamba na kwanza alimuuliza kipi anachokikumbuka katika siku hii?

https://p.dw.com/p/41fpQ