1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Kimataifa ya Magonjwa ya Akili

Josephat Charo
14 Oktoba 2022

Jiunge na Josephat Charo katika kipindi cha Maoni kinachojadili changamoto za afya ya akili katika jamii na mambo yanayoweza kusaidia katika utoaji wa huduma na kuwasaidia wagonjwa wa akili. Washiriki ni Mohammed Sharif, Mtabibu wa Kisaikolojia wa hospitali ya wagonjwa wa akili Zanzibar, Josephine Kaponya, Lucy Mjomba (katika picha) na Omar Mutasa.

https://p.dw.com/p/4ID7d