1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siku ya Kimataifa ya Kupinga Kadhia ya Watoto Kufanyishwa Kazi Ngumu

Bruce Amani12 Juni 2024

Ingawa hatua zimepigwa katika kupunguza utumikishwaji watoto kwa miaka mingi, miaka ya karibuni imeshuhudia mienendo ya kimataifa ikirudishwa nyuma. Maadhimisho ya mwaka huu nchini Tanzania yanafanyika mkoani Simiyu. Bruce Amani amezungumza na Mratibu wa miradi kitaifa nchini Tanzania, wa Shirika la Kazi Duniani (ILO), Glory Blasio, ambaye ametoa ufafanuzi wa kisheria wa utumukishwaji watoto.

https://p.dw.com/p/4gxIv