1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siasa za Tanzania na sera za ushirikiano wa kikanda

John Juma15 Oktoba 2020

Kando na masuala ya ndani, mambo mengine ambayo huangaziwa katika kampeni ni diplomasia, biashara na ushirikiano wa kikanda. Je vyama vya siasa nchini Tanzania vimelipa suala hilo uzito kama sehemu ya ilani zao? Suala hilo linatolewa uchambuzi na Richard Shaba ambaye ameanza kwa kuelezea ushirikiano wa Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na kukuza ushirikiano.

https://p.dw.com/p/3jxyu