1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shutuma baina ya maafisa wa IEBC ni ishara mbaya, wakili

John Juma19 Agosti 2022

Hali ya kunyosheana vidole vya lawama baina ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Kenya IEBC Wafula Chebukati na makamishna wanne waliopinga matokeo ya uchaguzi wa rais, imezusha maswali mengi miongoni mwa Wakenya huku uwezo wa tume hiyo kusimamia chaguzi zijazo kwa njia ya haki, ukitiwa mashaka. Mchambuzi wa sheria kutoka Nairobi, Kenya Paul Wanga anatoa tathmini yake kwenye mahojiano na John Juma.

https://p.dw.com/p/4Flj3