1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maimamu Tanzania wakemea uvunjifu wa haki za binaadamu

7 Machi 2023

Shura ya Maimamu nchini Tanzania imekemea vikali uvunjifu wa haki za binaadamu na hasa katika utekelezaji wa sheria ya ugaidi nchini humo ambao inasema inawalenga zaidi watu wa imani ya Kiislamu. Hii inafuatia kifo cha mmoja wa mashekhe wanaozuiwa kwenye gereza kuu la Ukonga nchini humo, Saidi Utalule. Sikiliza mahojiano kati ya Lilian Mtono na Katibu wa Shura ya Maimamu, Sheikh Issa Ponda.

https://p.dw.com/p/4ON8u