1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shule katika enzi ya virusi vya corona

8 Aprili 2020

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) linasema kuwa watoto milioni 290 ulimwenguni kote wamelazimika kubakia majumbani mwao katika wakati huu ambapo skuli zimelazimika kufungwa kwa khofu ya kusambaa kwa kirusi cha corona. Sikiliza makala ya haya yaliyoandaliwa na Mohammed Khelef.

https://p.dw.com/p/3adX2