1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shughuli ya kuhesabu kura bado inaendelea Lubumbashi

21 Desemba 2023

Wapiga kura katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameendelea kupiga kura katika vituo ambayo havikuweza kuanzisha na kukamilisha zoezi hilo jana Jumanne. Upinzani tayari umesema uchaguzi ulikumbwa na dosari. Bakari Ubena amezungumna na muandishi wetu wa Lubumbashi Kahozi Kosha, kutaka kujua yanayoendelea huko.

https://p.dw.com/p/4aQsw