1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MichezoUkraine

Kyiv yarejesha Marathon tangu baada ya uvamizi wa Urusi

2 Oktoba 2023

Maelfu ya wanariadha walikusanyika katika mji mkuu wa Ukraine, mwishoni mwa juma hili ili wakati Kyiv ikiwa mwenyeji wa mbio za Marathon zilizositishwa baada ya uvamizi wa Urusi.

https://p.dw.com/p/4X1ob
Russland I ukrainischer Journalist Roman Tsymbaliuk
Picha: Vyacheslav Prokofyev/TASS/picture alliance

Kyiv ni mwenyeji wa mashindano ya mbio za Marathon, hii ikiwa ni mara ya kwanza tangu uvamizi wa Urusi.

Mwanariadha mmoja wa mbio ndefu mwenye umri wa miaka 32 amenukuliwa akisema kila mmoja anapaswa kujaribu kuyafanya maisha yako kuwa mepesi kwa namna yoyote ile.

Mbio za Marathon za mwaka jana na hafla nyingine kadhaa zilifutwa kwa sababu ya vita nchini Ukraine lakini baadhi matukio yamerejea upya.